WADAU MBALIMBALI WA MLILIA SHARO MILLIONEA, KITALE APATA PIGO KUBWA ZAIDI

blogger templates

 Wadau mbali mbali wa tasinia ya burudani wameonyesha kusikitika na kuhuzunishwa na kifo cha msanii mahiri wa vichekesho nchini Sharomilionea
 KITALE akihojiwa na TBC akiongea akiwa na majonzi ya hali juu alisemaa alishindwa kuamini kama kweli sharo kafariki mpaka alipompigia simu mzee majuto nakumthibitishia kweli tukio ndo hilo aliishiwa nguvu baada ya kuthibitishiwa  habari nakusema amempoteza mtu mhimu sana kwake binafsi na hajui itakuwaje.na alishindwa kujizuia kulia 
 Steve nyerere nae alipohojiwa na TBC nae alionyesha kusikitishwa na kifo cha msanii huyo nakusema ameacha pengo kubwa katika tasnia hiyo ya comedy
 jackson mbando wa airtel akiongea na clouds fm katika kipindi cha power breakfast alisema kuwa  nipigo kubwa katika tasnia zima ya burudani na airtel wameskitishwa na kuumia sana kutokana na kifo cha msanii huyo ukizingatia alikuwa mdau wao mkubwa amnetegeneza matamngazo na airtel
 pamoja na wadau wengi wa moronew blog wametuma sms kunyesha kusikitika na kifo cha msanii sharo , joseeee, chale, mama ynwa, baby, mkali wa bodaboda thanx nibaadhi tu wadau wa moronew waliotuma sms

 R.I.P SHARO MILLIONEA

 kwa taarifa zaidi jinsi kifo chake kilivyotokea bofya hapa

0 Response to "WADAU MBALIMBALI WA MLILIA SHARO MILLIONEA, KITALE APATA PIGO KUBWA ZAIDI"

Post a Comment